Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Awapi!!Wewe nawe mzungu ujue
Awapi!!Wewe nawe mzungu ujue
Tuonyeshe trela kidogo watu waone yajayo🥰😍🔥Hahahaaa ..... mtandio nanyingine Kesho mkuu I promise!😜
Aahahahahaaa you kill it....
.
Enjoy your weekend.
Hahahaaa..... sio ya kemia tena??Tuonyeshe trela kidogo watu waone yajayo
Muvi kamili kesho
HapanaHahahaaa..... sio ya kemia tena??
Kama ni yako hongera mno, siku zote nilijua wewe me! Kumbe kinyume chake!!
Nkamu mwanzo ulivyokuwa unaweka nilidhani unakuja
Baadaye ukaja kusema humu kuwa haunywi..I was so excited kwa kweli ..cha urembo wetu tunakunywa tu coca![]()
Thank you teacherHaya twende Kazi!View attachment 2191249
TuoneSaint Anne ona nywele zilivokatika pembeni uwiii!!👆👆👆👆 leo nimenyoa mie!
Thank you teacher
Asante kwa kujua nami kujisahihisha.Hahaha ni ke dear....
Mwee nazidi tu kufurahi😂Hapana Nkamu sinywi kabisa Coca… Maji …juice ndiyo vinywaji vyangu
Si hapo kwenye picha ubaoni hio picha ya juzijuzi tu this week!Tuone
UnachekaaHahhaaaaaa...!
Haionyeshi vizuriSi hapo kwenye picha ubaoni hio picha ya juzijuzi tu this week!