Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246








sikujazi Mpenzi naongea uhalisia! Wa kujaza watu Wapo na vipaji vyao sio mimi aisee! Kiukweli Shepu unalo bana!🤣🤣🤣🤣Nijaze Mama nijazeeee
Achia kitu mkemia wetu wa WHOChat na picha!
Mkuu mtandio tufungie pasakasikujazi Mpenzi naongea uhalisia! Wa kujaza watu Wapo na vipaji vyao sio mimi aisee! Kiukweli Shepu unalo bana!
Taratibu mkuu!!mtoto mzuri mahondaw nimekumiss
Katika vitu mungu alikupendelea ni midomo yako, una tumidomo tuzuri sana..
Halafu rangi sasa, uwiiii, mtoto unawaka kama almasi..
Kifuani hapo ngoja nikae kimya, kuna picha yako moja niliiona mhhh.. Uko vizuri mrembo,
Mwisho kabisa ni suala zima la mzigo.. mzigo upo wa kutosha.
Nakupa 4.9 out of 5 hio 0.1 nimebakiza siku nikisikia sauti.
Ahsante🙄🙄🙄 Basi pouwa mamy ngoja namie nikalale tu 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️😴😴😴😴😴
ukuwe na Usiku mwema dia
Daaha, nakaribia aisee!Karibuni tushangilie ushindi
Shepu yake huwa inadidimiza server za jf
Taratibu mkuu!!
Thats why iam in love with ittttt....
zote kesho ....!!
Ya lecture ya kemia hio naiweka hata Saivi 🤣!Achia kitu mkemia wetu wa WHO
Ndio ndioooooo! Sante sana auntie wetu mzungu 😘😘😘
Kama ni yako hongera mno, siku zote nilijua wewe me! Kumbe kinyume chake!!
Wewe nawe mzungu ujueNdio ndioooooo! Sante sana auntie wetu mzungu![]()
Nilisema Mimi tuna mzungu humu.
Haya tupia nawewe sasa!! Tunasubiri hapa 🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🤣😜Kama ni yako hongera mno, siku zote nilijua wewe me! Kumbe kinyume chake!!
Tuone.Ya lecture ya kemia hio naiweka hata Saivi 🤣!