Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,005
- 177,256
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 karibu sana chamani Selfika...!! Ebu Tubariki na selfii yako mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😜😜😜Unachekaa
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 karibu sana chamani Selfika...!! Ebu Tubariki na selfii yako mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😜😜😜Unachekaa
Ndio ndioooooo! Sante sana auntie wetu mzungu![]()
Hahahaaa... mwenyekiti katika ubora wako 🤣🤣😜!! Vaa ile miwani yako ili uone vizuri 😂😂🤣Haionyeshi vizuri
Nimeivaa hadi imegusa jicho lakini wapi!Hahahaaa... mwenyekiti katika ubora wako 🤣🤣🤸😜!! Vaa ile miwani yako ili uone vizuri 😂😂🤣
Kama ni yako hongera mno, siku zote nilijua wewe me! Kumbe kinyume chake!!
Shangazi wetu 😍🔥🔥🔥I love the hand writing...mimi ni PCB holder...if am correct...
zimekatika balaaa hadi najiogopa hiki kichwa!!🙆Nimeivaa hadi imegusa jicho lakini wapi!
Asante kwa kujua nami kujisahihisha.
Uko na heri lakini
Mtandio Kesho Mkuu!
Tuone sasaZ
zimekatika balaaa hadi nakuogopa hiki kichwa!!🙆
I Happy kusikia hivyoNiko na heri...
No! Original yanWa mchongo![]()
Hapana Naenda kulala!!!!Hapana aisee, upo lakini?
Saa moja na dakika zake tokea uage kwenda kulala,usilale bwana! kwani wewe mtoto ulale mapema hivyo?Hapana Naenda kulala!!!!
Please ya mtandao kwa heshima yako kwangu naomba usipostiMtandio Kesho Mkuu!
