Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mtoto mzuri mahondaw nimekumiss

Katika vitu mungu alikupendelea ni midomo yako, una tumidomo tuzuri sana..

Halafu rangi sasa, uwiiii, mtoto unawaka kama almasi..

Kifuani hapo ngoja nikae kimya, kuna picha yako moja niliiona mhhh.. Uko vizuri mrembo,

Mwisho kabisa ni suala zima la mzigo.. mzigo upo wa kutosha.

Nakupa 4.9 out of 5 hio 0.1 nimebakiza siku nikisikia sauti.
Nilitaka kuselfika ujue hizi sifa nimeona aibu 😘😜!
Asante mkuu!!🙏
 
Hizo za Baba watoto mimi Asas na Coca zinanihusu.


Thank you Shimba, Happy Easter to you an ur family[emoji1545]
Nkamu mwanzo ulivyokuwa unaweka nilidhani unakunywa
Baadaye ukaja kusema humu kuwa haunywi..I was so excited kwa kweli ..cha urembo wetu tunakunywa tu coca[emoji5][emoji5][emoji5][emoji2956][emoji847]
 
Back
Top Bottom