Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Karibuni tushangilie ushindi
Jagermaister my ting....
Karibuni tushangilie ushindi
Nilitaka kusema kitu kuhusu hiyo Jägermeister nikakumbuka hunywi basi ikabidi niwe tu mpole. Happy Easter Mnyaki wa kizungu![]()

Jagermaister my ting....

Hamna tunaweza tukavunja mwikoingawa nahisi tutatolewa
Ufike pale Joy eslava, deez pub or live lounge uache upako hapo..
Niko Joy Eslava, mwenyeji wangu ako ananionesha mapendo na upako wa Pasaka....
Amarula is ruling.....
Strictly no camera.

Sogea kwenye hiki kibanda cha cocktail nipo jirani tu hapa…![]()



Hongera, uko mzuri sanaThanks dear...get it from my dad![]()
Sogea kwenye hiki kibanda cha cocktail nipo jirani tu hapa…![]()



Inaelekea ni kali lakini, naona watu hapa wakinywa huwa wanalewaa![]()
Hongera, uko mzuri sana