Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mazee, hizi Playlist unapozitoa sijui, lakini I appreciate it sana.
Hasahasa zile za The Diplomatics na za X-Plastaz,...
Nimezikiliza leo vizuri nikakumbuka mbali sana...
Mkuu, muziki ni maisha.. nina libraly kubwa tuu.. nasikiliza kutokana na upepoo

sasa hivi nakula ngoma za mbele kimtindoo..


came to ride
(We) deal (we) stack (we) multiply
(We) stay on the grind (until) we die
And back for mo', 'cause we can't get enough




 
Namba 1 na tatu umecheza kwenye playlist ya shangazi ,yaani dahh oi oi oiii
Hatari sana.. shangazi.. hii ngoma ina kitu chake huwa naitendea haki sana.. nikiendaga sehemu nikaelewa sound system dj lazima ale tip kwa kunichapia hii ngoma pamoja na Lloyd Banks Hands Up Closed Captioned ft 50 Cent na Dr Dre Kush ft Snoop Dogg Akon

My TV's pop up in a Maybach Benz

My Bentley GT got smoke gray rims
I'll teach you how to stunt
My neck stay blinging, my rims stay gleaming, I'm shining man
I'll teach you how to stunt
I see you scheming, nigga keep on dreaming, I hurt ya mans
I'll teach you how to stunt

Seven series BM, Six series Benz
 
Back
Top Bottom