Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata tuliolala tutaamka tu kwa sababu hakuna namna. Nikutakie pasaka njema "mzee" mwenzangu [emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 2189467
Mfano hapo nilikuwa shambani napalilia zangu Mahindi, nashangaa inapita juu ya kichwa Cha Mzee miye, kweli hatuna jinsi Wacha tufanye kazi tu 🤪🤪

Pasaka Njema Mkuu Shimba Ya Buyenze

Karibu huku Kijijini kwetu, kesho nitachinja Kondoo kufurahia Pasaka yangu, kama mpenzi wa Kuku, atakwepo kwaajili ya wageni.
 
IMG-20220416-WA0310.jpg
 
Back
Top Bottom