Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Kwa kweli hakuna mpendwaNitulie na mmoja ili nigundue nini 😎 😎
Kwa kweli hakuna mpendwaNitulie na mmoja ili nigundue nini 😎 😎
🙂🙂🙂good.. labda tutarudiana uzeeni au basiKwa kweli hakuna mpendwa
😀😀😀🙂🙂🙂good.. labda tutarudiana uzeeni au basi
Shgazi nipo sana.. mambo mengi shangazii.. salama kabisa weekend vipi
Safi sana Shangaziii.. acha tuchape moja moja siku iishe naona siku ndefu sanaaaPole sana,tunashukuru Mungu weekend iko poa ..
Niko poa mbona uko mpya sana rafiki?Uko poa rafiki??
Sitakiii umeniacha unategemea uzee shindwaa kwa jina la Zumaridi😬😬😬eeh tuje tumalizie uzee pamoja 😉😉
Unajua wapenzi hawaachani.. wanapumzishana tuu.. na upendo woote ule uje unigomee kabisaaa..... kuna hujuma nilikuwa nafanyiwaSitakiii umeniacha unategemea uzee shindwaa kwa jina la Zumaridi😬😬😬
Niliwahi kukwambia mimi nikiachika siangalii nyuma au kupasha kiporo we siunitaki sawa😩😩Unajua wapenzi hawaachani.. wanapumzishana tuu.. na upendo woote ule uje unigomee kabisaaa..... kuna hujuma nilikuwa nafanyiwa
haujui utamu wa kipolo weyeeee... kipolo kiheshimiweee... mambo yataatanzia hapo upyaaa kama hatujawai kutanaNiliwahi kukwambia mimi nikiachika siangalii nyuma au kupasha kiporo we siunitaki sawa😩😩
Ujue nipo gamboshi nita ku set huku hukuNiliwahi kukwambia mimi nikiachika siangalii nyuma au kupasha kiporo we siunitaki sawa😩😩
Sikiliza nyimbo hii i miss you Rayvann feat Zuchu😬haujui utamu wa kipolo weyeeee... kipolo kiheshimiweee... mambo yataatanzia hapo upyaaa kama hatujawai kutana
Wewe mimi Mwanamke kutoka Tanga huniwezi kama una bisha nipe mkono😀😀Ujue nipo gamboshi nita ku set huku huku
weeeeee... haiwezekani.. nitaunganisha nguvu ya kwa msisi na gamboshi hutoki yaani.. huku kwa kamchepuko naonja tuuu.. ila HQ ni wewe 😎Sikiliza nyimbo hii i miss you Rayvann feat Zuchu😬
Na mie ujue ni hybrid .. utashangaaa unakuja mwenyewe nisiwe na maneno mengiiiWewe mimi Mwanamke kutoka Tanga huniwezi 😀😀😀