Akimwambiaβ¦Nihurumie mwanangu!, nihurumie mwanangu!, ikiwa ninastahili kweli kuitwa baba yako, ikiwa nimekupenda zaidi hata ya kaka zako, ikiwa nimekulea mpaka umefikia hatua hii ya heshima..basi nihurumie mimi baba yako..kubali kukataa tu wewe sio mkristo.
Maneno hayo yalisemwa na baba wa Mt. Perpetua, wakati Perpetua yupo gerezani akisubiri kuhukumiwa kifo. Lakini Mt. Perpetua na kijakazi wake Mt. β¦. Walikaza katika Imani yao ya Ukristo.
Mtakatifu somo wangu β Mt Fβ¦β¦ Mt. Perpetua na watakatifu wote mtuombee daima sisi tuliopata heri ya kuitwa majina yenu + wengine wote, tujithibitishie katika Imani, tuzidishiwe nguvu katika fadhila, tujikinge na vishawishi mwisho tuweze kumshinda adui mwovu ili tustahili Utukufu milele π