Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Kazi gani hiyo profesa?Kazi ninayo hakyanani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kazi gani hiyo profesa?Kazi ninayo hakyanani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We wige
Unataka uthibitisho gani badala uamini tu maneno ya mshana[emoji23]
NakedBila bila ni nini?
Kha hizo sio za kununua kabisaNiliona zimewekwa kwenye mfuko zinapigwa na nzi yaani[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya kwa mpalange wanaita[emoji23]
Lazima inyesheHamnaga Pasaka ya bila mvua 😇
Hilo jina tuYa kwa mpalange wanaita[emoji23]
Mbezi paleKha hizo sio za kununua kabisa
Ilikuwa kwenye road nini ?
[emoji39][emoji39][emoji39]Anne tambi mbichi hizi zinapatikana mwezi huu ramadhani tu.. hapo nimeziweka binzari ya njano ili kuweka rangi na ladha nzuriView attachment 2187754
Kumbe tatizo ni huku uswahilini ninakokaa😂Hilo jina tu
Nzi unawakosaje
Kwa mfano[emoji848]
MimiKumbe tatizo ni huku uswahilini ninakokaa[emoji23]
AsanteMimi
Sijasema[emoji1787]
Asiii
Asilegee moyo weeee
Asitokwe machozi
Aki…Akimkumbuka Munguwe kwa yakeee makombozi
Lenie kesho ibada saa 9, sasa ulale [emoji16]
Kumbe mnacompare?[emoji848]Aah hawajawafikia kaka zetu Bado[emoji1787][emoji1787]
Shule yenyewe sikwenda akiyananiNaked
Ooh sawaMbezi pale
Kwenye maduka maduka
Alishaokoka.Jichawi yule
Shauri yako
Hello coca[emoji39][emoji39][emoji39]
Naipenda hiyo nyimboPara ya mwanzo
Nimesisimka hatari