Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,828
- 236,138
HakikaOoh sawa
Wengine kwenye biashara wanaweka vitu ovyo tu ndo maana wengine wanaenda supermarket au mini shops hizi .
Sasa na nzi walivyozagaa kipindi hiki mtu anaweka weka tu aisee..wanaonunua pale wana moyo