Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😂😂😂😂umetisha
😂😂😂😂umetisha
Kwa huyu sijajua inaendeleje, though nilisikia alikamatwa. Ila wapo ambao waliuawa na hakuna aliyeongea, so mume anabaki huruKwamba wanaweza kumuacha?😳
Halafu nasikia ni mchungaji eti
Au umefungulia mziki
Dah🥺Kwa huyu sijajua inaendeleje, though nilisikia alikamatwa. Ila wapo ambao waliuawa na hakuna aliyeongea, so mume anabaki huru
😊😊🔥🔥🔥🔥
Uzee nao unasumbua mdogo wangu kuna wakati mvurugo wa maisha unapamba motoYaani kwamba jana tulichochat unesahau🤣🤣🤣
Haya nimekukumbusha😂Uzee nao unasumbua mdogo wangu kuna wakati mvurugo wa maisha unapamba moto
Tunafuata protokaliNa wewe nakukumbusha na Pep

Endelea kujidanganya sawa mtoto mzuri eeTunafuata protokali
Mkubwa kwanza
Mimi bado nile nile ugali wa bure nyumbani weee..kwenda kupurukushana na mtoto wa mtu sasahivi bado![]()
Ila tuache utaniEndelea kujidanganya sawa mtoto mzuri ee



Tungo yenye mguso mtumishiMuda mwingi nilipotea
Sikufahamu msalaba
Bwana aliyenifilia
Kwa Kaaaalvariii
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua
Kwa kaaalvarii![]()
Ndio kipindi chake hiki, japo tunaimba wakati wowoteMno
Nataka niimbe kesho hii tenzi
Tunaimba wakati woteNdio kipindi chake hiki, japo tunaimba wakati wowote