spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,530
😍😍😉😉😉Dada mwenye mguu wake na shepu🔥
😃😃😃😃Nakionea huruma hicho kiti mpaka namaliza andika hii comment kishajiachia kuleee
Na wanaume walivyo,baada ya miezi anavuta kitu kipya, ushasahaulikaUkifwata maneno ya watu unaweza kufa unajiona .
Jamii yetu huwa ina tabia ya kuongea aiseee..
Vipigo vikizidi bora kujiongeza...unafurahisha watu halafu unakufa![]()
Usiniambie umepata wivu😅😅
Dimpoz 😘😘😘
Akaozee jelaNa wanaume walivyo,baada ya miezi anavuta kitu kipya, ushasahaulika
Mfanye haraka tule ubwabwa😍😍😉😉😉
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoniFrom January to December najua ulinilinda
Ni Wewe
Tangu Mawio, machweo ulinipa huu mwangaza
Ni wewe
Wakati wa huzuni, furaha zote unanipa amani
Milimani, Mabondeni kote unakua nami
Nchi ya ahadi, ni nzuri imejaa asali
Iye iyee, iyee iyee
Si hadi akamatwe sasa. Wapo Wanawake wanaokufa kwa kipigo na wanaishia kuwa huru tuAkaozee jela
Tuko kwenye maombi ya kufunga mtakatifu.akitokea mwamba mtakula ubwabwaMfanye haraka tule ubwabwa
Kwamba wanaweza kumuacha?😳Si hadi akamatwe sasa. Wapo Wanawake wanaokufa kwa kipigo na wanaishia kuwa huru tu
Yaani kwamba jana tulichochat unesahau🤣🤣🤣Tuko kwenye maombi ya kufunga mtakatifu.akitokea mwamba mtakula ubwabwa