Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Za kitambaa zenyewe naona kama nyepesiOoh okay
tight zinahitaji moyo kuzivaa ndo maana basi
Yaani sijui najihisije kuona mapaja yametengana[emoji1787]
Za kitambaa zenyewe naona kama nyepesiOoh okay
tight zinahitaji moyo kuzivaa ndo maana basi
Nionyeshe basi na wewe
Sasa ndiyo nini kuifuta?Ni kapicha Fulani nishawahi kukapost
Kuna mtu aliweka laki nipost nikiwa nimevaa suruali[emoji23]
Za kitambaa nzuri tena unakuwa comfortable balaa....Itakuwa hupendi tu suruali .Za kitambaa zenyewe naona kama nyepesi
Yaani sijui najihisije kuona mapaja yametengana[emoji1787]
Hivi imekupita kweli??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndiyo nini kuifuta?
Irepost tena nione. Mambo mengiHivi imekupita kweli??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ipo humu..
Nimefanya kurepost.
Ila wanyaki kwa ubabe.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha ubabe uombi samahani sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi watu kama wewe ndiyo nawapenda sijui kwanini
NtajaribuZa kitambaa nzuri tena unakuwa comfortable balaa....Itakuwa hupendi tu suruali .
Depal mmeru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanyaki kwa ubabe.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uliiona[emoji2960]Irepost tena nione. Mambo mengi
Pepo toka [emoji23][emoji23]Nimesisimka
Kweli Mimi ndiyo mnyaki mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si bora hata yeye ameomba angalau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kusema sorry..
Mimi Sina Cha sorry Wala ndugu yake sorry[emoji2096][emoji2096]
Huwa zinapendezaNtajaribu
Zipo nyingi nyingi zimekaa kama mapambo
Mwee jump suti na huu mwili[emoji23]Huwa zinapendeza
Unakuwa zako comfortable ..
Jumpsuit huwa nazipenda... napenda nguo zilizo loose hivi
KwaniKweli Mimi ndiyo mnyaki mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi si huwa nakuambia unabisha[emoji1787]Kweli Mimi ndiyo mnyaki mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo hapaZingatia ule mfanano
Jikite kwa alichosisitiza HS
Sasa tupia
Nami nakuwekea
Yaani naona vya kurithi mnanizidi hadi mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heaven Sent kumbe sijashindikana peke yangu aisee[emoji1787]
Mungu anusuru hiki kizazi.
Mwambie atupieNipo hapa
Sio million tena?Ni kapicha Fulani nishawahi kukapost
Kuna mtu aliweka laki nipost nikiwa nimevaa suruali[emoji23]