Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Kwanini?Ushanikera
Kwanini?Ushanikera
Daima mbele nyuma mwiko[emoji4]Mwananchi
Unashabikia hao washambaKwanini?
Kweli huo ni kweliWeeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napigwa kamba
Siasa nishaachana nazo..naingia tu kucheka.
Nipo zangu kwenye football siku hizi..Uzi wa Manchester unataka kuniua Kwa kicheko.
Abee@Tinsley
Nipe picha niyokuombaDaima mbele nyuma mwiko[emoji4]
🙆Kweli huo ni kweli
Mimi huwa natoa sifa hivyo hivyo una shape nzuri tena nyie mkivaa huwa mnapendeza kuliko sisi wenye average bodies
Hee!!Unashabikia hao washamba
Sio tupo kwenye mfungoNipe picha niyokuomba
Ndo ukweli huo[emoji134]
Ngoja aje HS kwanza
MhhhNdo ukweli huo
Sie tukienda kutafuta nguo hadi unaweza kughairi kununua kila nguo haikutoshi [emoji17] .
Usinichezee..Sio tupo kwenye mfungo
Na sisi hivyohivyo 🥺Ndo ukweli huo
Sie tukienda kutafuta nguo hadi unaweza kughairi kununua kila nguo haikutoshi [emoji17] .
Hahaha vipiMhhh
Ah wapiNa sisi hivyohivyo [emoji3064]
Rudia sasa ili nitoe comment vizuri[emoji134]
Ngoja aje HS kwanza
Ila wanyaki kwa ubabe.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Toa tu Kwa uzoefuRudia sasa ili nitoe comment vizuri
Hata shilingi sijapata
Mimi naendaga kila nguo kubwa🤣Ah wapi