Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lenie
Sahii hata relationship ikuje imepakwa asali… siitaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km umepigwa tukio, kaa chini tulizana, hatutaki motivation speaks,
Watu tuko na relationship had inamwagika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaliweka nini jamani
Nielezee basi[emoji23]
Sijui leo yupo chimbo gan, sijui bonyokwa, sinia la chakula lina kutu, meza sasa ile ya buchan ya kukatia nyama ina afadhar, mazingira hovyooooo tyuuh, [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila sasa akiwa na mchuchu maeneo yake hayoo, selfika inatikisika woiiiiiiiiih
 
Km umepigwa tukio, kaa chini tulizana, hatutaki motivation speaks,
Watu tuko na relationship had inamwagika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
41CC4E10-B917-4E32-AB3A-65D6D72FC2ED.jpeg
 
Sijui leo yupo chimbo gan, sijui bonyokwa, sinia la chakula lina kutu, meza sasa ile ya buchan ya kukatia nyama ina afadhar, mazingira hovyooooo tyuuh, [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila sasa akiwa na mchuchu maeneo yake hayoo, selfika inatikisika woiiiiiiiiih
Una umbea mwingi sana 🤣🤣🤣🤣 ila kitu kizuri huna unafki
 
Una umbea mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kitu kizuri huna unafki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] mie unafiki siuwezi,

nimekumbuka niliwahi kumuuliza kitu baba, afu mama alinambia nisimuulize eti nijifanye sijui,. Wee kamoyo kananambia "cocastic unajidhulumu nafsi yako hebu toa hilo duku duku uwe na aman" nisilipue kitu nn tena niko mkavuuuh.

Kilichofuata walijiana wenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Back
Top Bottom