Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Simara na vidole navyo navibandika nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2181954
Bado nywele sasa[emoji2]
Simara na vidole navyo navibandika nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2181954
Nimesuka vibutu vinachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado nywele sasa[emoji2]
Nimesuka vibutu vinachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata siikumbuki, ulifuta fastaSiikumbuki sasa nikumbushe
Nazilainisha ili niweze kuchanaUnazikuza kwanza?
Nazilainisha ili niweze kuchana
Zimejikunja mno
Mimi sipati tena picha za Boss Lady na wala sizipiganii tena...nshajikatia tamaa [emoji16][emoji16]Boss ledi jamani nimepitwa na picha Zako
Zirudiwe[emoji847][emoji847][emoji847]
Shimba Ya Buyenze yuko wapi?
Zirudiwe aiseee...ni ubatili kupitwa na picha za boss wetu.
Bada ya kusombelea mchanga
NawaangaliaNdio babu [emoji2224]
Na tutamgawia kidogo huyo Wige
Me mwenyewe nimekata TamaaMimi sipati tena picha za Boss Lady na wala sizipiganii tena...nshajikatia tamaa [emoji16][emoji16]
KumbeeeUkiingia bafuni tu kuoga mamba anakubeba [emoji2957][emoji2957]
[emoji41]Huyu Wigelekelo anaonekana hana adabu na Babu yako, unaonaje tusimpe tu [emoji2957][emoji2957]
Kumbe kuna faida nyingi za kulala na soksi hasa kwenu mabinti. Hebu tazama hiyo point ya tatu....Heaven Sent Shauri yako,Mimi nimepamba moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkamu Simara ndio tumeanza zoezi letu Kwa mbwembwe [emoji23][emoji23]View attachment 2181949View attachment 2181950
NguvuUnga wa muhogo utakufanya uendelee kuwa na nguvu kama za kijana.
Shkamoo mwalimuuuMwanafunzi
Boss Lady katubadilikia. Tuwaache na wengine wahangaike sasa. Tumevipiga vita imara. Kazi tumeimaliza [emoji16][emoji16]Me mwenyewe nimekata Tamaa
Nimeamua kuachana nazo maana ameanza uswahili[emoji19]
NajuaHakuna cha nine seeds wala wani siidi hapo hamvuni kitu hapo [emoji2099][emoji2099][emoji848]
Tupumzike sasaBoss Lady katubadilikia. Tuwaache na wengine wahangaike sasa. Tumevipiga vita imara. Kazi tumeimaliza [emoji16][emoji16]
Acha tamaaNilitaka niseme kitu pm ila naona kuna kufuli [emoji1787][emoji1787]