Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,491
Ukiingia bafuni tu kuoga mamba anakubeba 🤪🤪Mmoja wa wazazi wangu
Anatokea Mwabalogi vileji
Mwingine uru kishumundu
Jaribu nikuzimishe
Ukiingia bafuni tu kuoga mamba anakubeba 🤪🤪Mmoja wa wazazi wangu
Anatokea Mwabalogi vileji
Mwingine uru kishumundu
Jaribu nikuzimishe
Huyu Wigelekelo anaonekana hana adabu na Babu yako, unaonaje tusimpe tu 🤪🤪Ndio babu 🤸🏻♀️
Na tutamgawia kidogo huyo Wige
Unga wa muhogo utakufanya uendelee kuwa na nguvu kama za kijana.Unajua kunipatia wewe, yaani Bibi yako atachinja yule jogoo mkubwa na kunipikia ugari wa mhogo utakaoniletea😋😋
Kama tumnyime vile?!Huyu Wigelekelo anaonekana hana adabu na Babu yako, unaonaje tusimpe tu 🤪🤪
Too much sweetness in dried grapes, zimenishinda mshamba mie 🙊View attachment 2181773
Maandalizi😋
Pole kipenziToo much sweetness in dried grapes, zimenishinda mshamba mie 🙊
Subiria dakika 90, tunashinda hii mechi💪💪
Sahii naogopa hata kubetia chama langu kiukweli..! Sad.!
Tulia Mamlai 🤣🤣Sahii naogopa hata kubetia chama langu kiukweli..! Sad.!
Tubet babuSubiria dakika 90, tunashinda hii mechi💪💪
Hahahaha......kumbe uko deep na mafunzo ya Bible eeh, alafu nisikie Kuna Mwanaume huko nje anakusumbua🙊🏃🏃🏃🏃Kama tumnyime vile?!
Au basi tusimlipe baya kwa baya!
Tukifungwa hii mechi nakutumia hela ya Hennessy Mjukuu, Ila tukishinda utachagua zawadi ya kunipa 🤪🤪🤪Tubet babu
Hahaha......lakini unajua Mimi na Bibi yako tumeshazeeka 🙈🏃🏃Unga wa muhogo utakufanya uendelee kuwa na nguvu kama za kijana.
Haya mahindi yamebanana sana. We na babu yako hamvuni kitu hapoNa picha babu tuwapeView attachment 2181771




