Mm huwa dawa hazinikubali naungua Sana nikajaribu olive oil ikakubali lkn kila mwez nywele imeota nikazikata now ni hizo natural hair japo soon nitaziweka dawa View attachment 2180692
Kiasi dear sema ni vizuri kushare unachofahamu
Ni kweli zinakua hazipendezi ushauri ukiona zimeota na muda bado wa kutosha kuretouch tafuta fundi mzuri wa nywele za mkono kunastyle nying unatafuta vibanio vyako vzuri kadhaa unatoka hivo ukienda kazini unapendeza tu
Pia kunastyle nying nzuri sasa hiv za natural hair fanya hivo ukiwa unavuta muda
Mm huwa dawa hazinikubali naungua Sana nikajaribu olive oil ikakubali lkn kila mwez nywele imeota nikazikata now ni hizo natural hair japo soon nitaziweka dawa View attachment 2180692