Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila mbadala wa olive kidogo naona iko vzuri ni mega growth lkn uwe unatumia product zote
nywele zinakua Bomba Sana pia uwe Makin kwenye kuretouch ni Mara moja kwa miez minne hapo nywele utaielewa

Unaretouch baada ya miezi minne
Vipi nywele ikiota mapema kabla ya muda ?
 

Jaribu beautiful beginning itakubali,mimi nina mkonge dawa zote zilidunda ila hapo zinashika na zinalainika vizuri sana...
 
Maana kuna watoto vichanga kabisa tunawatoboa na hawapati matatizo cha msingi mkitoboa masikio mpake sprit, na pia msivae kila heleni bora ununue heleni nzuri na not so cheap hizo cheap naonaga zinawaletea shida sana wengi mpaka masikio kuvimba
Umenena rafiki ...cheap is always expensive
Asante kwa ushauri mzuri huu kabisa .
Huwa mnawatoboa hao vichanga wakiwa na miezi mingapi ?
 
Ila mbadala wa olive kidogo naona iko vzuri ni mega growth lkn uwe unatumia product zote
nywele zinakua Bomba Sana pia uwe Makin kwenye kuretouch ni Mara moja kwa miez minne hapo nywele utaielewa
Mi iligona kabisa
Namshukuru Mungu nina nywele kwakweli
 

Ooh okay pole aisee
Endelea na hiyo Revlon inaweza kukubali kabisa .
Mie huwa natumia movit hizo nyingine zote huwa naungua .. last time niliungua vibaya hadi ngozi ikatoka .

Jaribu natural steaming hata hivyo ni nzuri pia .
 
Unaretouch baada ya miezi minne
Vipi nywele ikiota mapema kabla ya muda ?
Unaosha dear una blow-dry unasuka pia jitahid kusuka nywele ambazo haziathiri ukuaji wa nywele
Epuka pia kusuka nywele zinazovutwa Sana zinasababisha nywele kukosa nafasi ya kukua vzuri na kukatika

Ukiona unakaribia kuretouch usiretouch siku unayofumua kma umesuka fumua ziache hata sikumoja zitulie then retouch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…