Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe texture ya nywele zako inafanana na yangu!
Mi beautiful nilitumia zamani ndo nikahamia olive!
Walivyo let's mpya ndo balaa lilipoanzia!

Sshv nimekuwa nazikata kidogo kwa juu mara kwa mara sbb nimebadirisha dawa,taratibu mpk zikae sawa
Ila sina mambo mengi ya sijui conditioner hapana!
But MPL ni mafuta mazuri sn
 

Ila nywele kama zetu beautiful beginning ni nzuri sana,mimi ncha nakata mara chache sana...MPL sijawahi kuyaona ni ya wapi?
 
Ila mbadala wa olive kidogo naona iko vzuri ni mega growth lkn uwe unatumia product zote
nywele zinakua Bomba Sana pia uwe Makin kwenye kuretouch ni Mara moja kwa miez minne hapo nywele utaielewa
 

Huwa unakata ncha ooh
Nimeambiwa mara nyingi hili napuuzia labda ndo maaan vimegomea hapo hapo .
 
Pole!
Yes nilijaribu zote hizo mpk ,tcb,autra sheen,radiant,movit hakuna kitu nywele zikawa hazishiki dawa na zinakatika,mwisho nikaweka 'Tee Tree ,yaani ilishika vzr ila ilichonifanya

Nywele zilikuwa zinatoka km MTU anazikata vile!
Ndo nikaona isiwe shida kidogo nizikate,nikazisuka ili nisizione ,nilipofumua ndo nikaanza Revlon japo nayo haishiki sn ila bado naangali! Mpk nirudie mara 4 hivi nitapata jibu.
Ni kweli mi na hivyo vitu steaming sijui nn hapana kwanza siamini sn!
Shida ya dawa ndo hiyo,yaani wanabadirisha product mpk wanaboa basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…