Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mapafu hayataki kazi nzito tena..
Kwisha habari yangu[emoji2][emoji2]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mapafu hayataki kazi nzito tena..
😄😄😄 sister p inagoma kabisa.. wewe sio andunje.. ibako Zay B mwana dada gaidi, Dataza tunajua alipo, Rah P sijui yuko wapo..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] umenikumbusha mbali kweli da joh hivi ile nyimbo ilikua inaitwaje? Au ukute ni zay b au sista p,dataz au rah p[emoji2][emoji2][emoji2]
Hivi kile kitoto ki Rah-P kiko wapi ???😄😄😄 sister p inagoma kabisa.. wewe sio andunje.. ibako Zay B mwana dada gaidi, Dataza tunajua alipo, Rah P sijui yuko wapo..
Maisha yana badirika 😄😄😄.. kuna watu sasa hivi wakiniona unachana chana, kesho yake unaweza kutana na barua ukapimwe 😄😄😄😄😄.. tushatoka kabisa hukoKwisha habari yangu[emoji2][emoji2]
Rah-P hata mimi sijui kabisa aisee, Dataz nilikuwa namuona mala nyingi sana..Hivi kile kitoto ki Rah-P kiko wapi ???
Hivi kile kitoto ki Rah-P kiko wapi ???
Kina Dataz nafahamiana nao, nimewahi ishi nao Gangilonga miaka ya nyuma kidogo. Ila Rah ndiyo sijawahi muona.....Rah-P hata mimi sijui kabisa aisee, Dataz nilikuwa namuona mala nyingi sana..
Maisha yana badirika [emoji1][emoji1][emoji1].. kuna watu sasa hivi wakiniona unachana chana, kesho yake unaweza kutana na barua ukapimwe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. tushatoka kabisa huko
Naona umeamua uninyanyase na hiyo picha.Asante [emoji847], huu ngoja kesho nikitulia niupitie
Ni hii niliifuta Saint Anne
ila Rah P kuna kipindi nilisikia story zake kama sitochanganya aliensa USA yakamkuta yaku mkuta.. kama kunyanyasika flani hivi.. hata humu jf kuna uzi wake unao elezeaKina Dataz nafahamiana nao, nimewahi ishi nao Gangilonga miaka ya nyuma kidogo. Ila Rah ndiyo sijawahi muona.....
Hii nilipitia na kuna ingine inamzungumzia, alikuwa mzuri mtoto wa watuKina Dataz nafahamiana nao, nimewahi ishi nao Gangilonga miaka ya nyuma kidogo. Ila Rah ndiyo sijawahi muona.....
Pumzika Aunt yake Junia kesho pia ni siku[emoji28]Naona umeamua uninyanyase na hiyo picha.
Ngoja nilale tu.
Now, that's a tragedy....Hii nilipitia na kuna ingine inamzungumzia, alikuwa mzuri mtoto wa watu
Unajua masnii rah p yuko wapi?
Nimekasirika [emoji17]Pumzika Aunt yake Junia kesho pia ni siku[emoji28]
Usikasirike utaota ndoto mbaya [emoji18]Nimekasirika [emoji17]
Hope she's doing well, God be with her!
Haya maisha ni mahesabu, ukichanga karata vibaya hatari tupu..Now, that's a tragedy....
Nishakasirika aiseeUsikasirike utaota ndoto mbaya [emoji18]