Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Na iwe ivyo, mda umepita inawezekana hata akwa amerudi bongo akawa anaendelea na maisha yake.Hope she's doing well, God be with her!
Na iwe ivyo, mda umepita inawezekana hata akwa amerudi bongo akawa anaendelea na maisha yake.Hope she's doing well, God be with her!
Usifanye hvyo utakua mtoto wa shetani amejisemea Junia[emoji16]Nishakasirika aisee
Kukosea kupo mazee, sema tu wengine sisi siyo maarufu. Lakini mwisho wa siku lazima maisha yaende.Haya maisha ni mahesabu, ukichanga karata vibaya hatari tupu..
Yote kheri, maisha popote kaka......Na iwe ivyo, mda umepita inawezekana hata akwa amerudi bongo akawa anaendelea na maisha yake.
Kweli kabisa. alikuwa yupo vizuri. nafikiri pia na pressure za umaarufu huwa zinachangamoto sana..Kukosea kupo mazee, sema tu siyo maarufu. Lakini mwisho wa siku lazima maisha yaende.
Unajifunza, Unakomaa na Kukaza buti, Mungu ni wetu sote...
Iko page no ngapi?Mbona nimeshatupia muda ...
Tragedy [emoji3]
Ngoja tuzichange yajayo yanafurahisha
Imenitafakarisha sana!
[emoji23][emoji23]akina junia ,caren ad the likeNasubiri
Afu Uzi wa akina Junia huu hapa[emoji23]
![]()
Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister
Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito. Sister ana...www.jamiiforums.com
sophy27
Tumuombe Mungu au tushughulikie hizo ancestors spirits 😀😀😀maana kama Authority and Power ulishapewa, Neno unalo.. understand and wisdom vipoImenitafakarisha sana!
This thing is real ,tumuombe Mungu sana![emoji848]
Tumfuate 🙏🙏Mwana-kondoo Ameshinda
Washindwe aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969][emoji23][emoji23]akina junia ,caren ad the like