Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tulia kwa Mungu haya mengine achana nayo!...hiyo ngoma "UTU" ni balaa[emoji4]
Nilikuwa narap zamani aisee😂😂😂😂
Kaka zangu niliofuatana nao walikuwa wanaweka hizi ngoma acha kabisa🙌.

Nimetulia na za kuabudu sasa hivi..
Hizi nyingine mara moja moja siyo mbaya..km leo nilitumiwa huo wa Alikiba..Jamaa ni fundi sana aisee.
 
Nilikuwa narap zamani aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka zangu niliofuatana nao walikuwa wanaweka hizi ngoma acha kabisa[emoji119].

Nimetulia na za kuabudu sasa hivi..
Hizi nyingine mara moja moja siyo mbaya..km leo nilitumiwa huo wa Alikiba..Jamaa ni fundi sana aisee.
Unarap we noma[emoji28]
 
Back
Top Bottom