Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ze view iz vere satisfying.

20220407_201519.jpg
 
Halafu kulikuwa na Hawavumi Lakini Wamo, hivi kilipotelea wapi kile kipindi.... 🤣
Enzi za Billicanas.. ukikutana na huu wimbo unavimba.. kama unavaa uhusika 😀😀😀

ayo rasmi nimeibuka, msuko pamba nimevaa nimenyuka,

binti linagongwa kichwani mzuka
Bonge la cheni shinyongoni

a whiskey..... a whiskey mbovu mkononi
a cigar a cigar hilo mdomoni
vitoto vitoto viwili pembeni


wapambe wengi kishenzi, utafikiri nje nimepaki ben.. kumbe nimekuja na tax bubu
 
Back
Top Bottom