Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mkuu nimeiona picha yako kule uko vizuri [emoji4][emoji4]Kamandaaa!
Heshima yako
Mkuu nimeiona picha yako kule uko vizuri [emoji4][emoji4]Kamandaaa!
Heshima yako
Vimbaumbau tumekaa mbaliKwani sisy leo ni siku yetu eheee
Ewaaa[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nimetafuta sijafanikiwa kuziona[emoji41]Kila page zipo
Hawa HotForex wamepishwa official... tatizo hapa tanzania tu.. dah..Hii hapa MkuuView attachment 2179364
Kitamboo daahMALCOM LUMUMBA
Nimesikia huu wimbo leo nimecheka sana enzi za kina Solo.. na Ishi Star
View attachment 2179363
Wooi kumbe handsome hivi baba junia[emoji3059]Hii hapa MkuuView attachment 2179364
Kweli?Nimetafuta sijafanikiwa kuziona[emoji41]
muite kwanza Shimba Ya Buyenze mwambie kuna ya mtandao namsubiria akuje kwanza!Hata sisi hatujakulinganisha ndo maana tunasema wewe ni wa pekee [emoji3059][emoji847]
Tubariki boss wetu mkemia mkuu
Karibu sana jijini😛Hapa nipo maeneo naitafuta Dar es Salaam.. 😄😄😄
Hizi kitu nasubiri nikitulia baadae niende nazo taratibu bila kelele[emoji41][emoji41][emoji41] nakula old old hapa
View attachment 2179096
View attachment 2179091
View attachment 2179092
Yupomuite kwanza Shimba Ya Buyenze mwambie kuna ya mtandao namsubiria akuje kwanza!
Handsome man ✌️✌️😘😘!!Hii hapa MkuuView attachment 2179364
sema usione soooo... sasa hivi hatuelewi sie haya mashail mambo ya soksi tupa kule... watu wanatumia ky na vaseline.. dunia ipo haraka sanaaa 😀😀😀Kitamboo daah
[emoji23][emoji23][emoji23] nliendaga kwa semina yao moja wakatupatia t-shirt hiziHawa HotForex wamepishwa official... tatizo hapa tanzania tu.. dah..
Kazuriiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3059][emoji3059]
simuoni hadi aje ndio naweka!Yupo
Uzuri boss wetu huwa unatupia vitu real halafu ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji847]
Kitambo sana nilimtumia huyo broker..[emoji23][emoji23][emoji23] nliendaga kwa semina yao moja wakatupatia t-shirt hizi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We utaona tu anaibukasimuoni hadi aje ndio naweka!
Hizi ndevu ka nazijua🤔Hii hapa MkuuView attachment 2179364
Mamaa Africa