Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Ni waongoooo hao watu jamanSema uwaga yana kifleva chake 🤣🤣
Niliangaliaga Merlin ya hayo madude, siku nakuja kuangalia Merlin ya Eng nikaiona kawaida.
Ni waongoooo hao watu jamanSema uwaga yana kifleva chake 🤣🤣
Niliangaliaga Merlin ya hayo madude, siku nakuja kuangalia Merlin ya Eng nikaiona kawaida.
BM😍Karibu chuga basi uje kuona mabus mazuri Shabiby akasome
Ambavyo huwakubali sasaNi waongoooo hao watu jaman
Mhhh nipo babeMy bebe ndo unafufuka baada ya kujipoteza jamani [emoji848]
mwamba hatari sana.. majani huwa anampatia sanaa.. kuna hii beat ali flow.. na nikisilizaga ni mshamba huwa nacheka sana nakumbuka mbali 😎😎Mchopanganga, a Hip-Hop Powerhouse!
Umepotea hadi nahisi wamekuiba[emoji852]My bebe ndo unafufuka baada ya kujipoteza jamani [emoji848]
Bila kusahau Kidia one
Kama ndo yale Marangu sijui machame,kilimanjaro basi bora nisiyaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]Karibu chuga basi uje kuona mabus mazuri Shabiby akasome
Hapo labda Kidia One kidogo ni kaliBila kusahau Kidia one
Kuna Tahmeed
Extra Luxury
Kilimanjaro ile mpya ni ya motoo
Kaskazini wana buses bana, ikifikaga muda wa safari nahangaika kuchagua moja wapo.
Hello mremboo.
Kweli tena.Anne baki kwa Yna2 please![emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo nimecheka chizi ana nafuu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Machame wako mpaka DomKama ndo yale Marangu sijui machame,kilimanjaro basi bora nisiyaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Kwel wanatafsiri vya uongo, nilikua nacheka sanaAmbavyo huwakubali sasa
Nalala uniamshe saa 17:00 nipikeKweli tena.
Huu uzi bila picha zako hauendi kabisa.
Itakuwa kwa jina lingine nacheki kwenye kazi zake.. sioni jina la huo wimbo naona mingine mingine tuKuna ngoma fulani ya Saigon inaitwa Bruce Lee naitafuta sana
Ukilala bila picha ni ugaidi huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nalala uniamshe saa 17:00 nipike
I lost nothing yesterday, 7bu nilikuwa 50/50
Unatumia simu gani [emoji846][emoji846]Hivi kumbe mbona kwangu zinafunguka[emoji847]