Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ukweli...

Lakini hata hivyo yategemea na generation, maana watoto wa internet age wote wanafanana si wadada si vijana
 
Mzee kule we unamfollow unaetaka tu, ila mpaka ukuelewe kule ni kazi
Nikienda Twitter nafanyeje? Namfollow nani? Nina akaunti huko lakini naishiaga tu kusoma mipapurano ya wanasiasa na mimi siasa huwa nazikwepa. Basi huwa naishia kukimbia tu na kuja huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…