Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Shangazi dah! haya sikuwa na bahati basi na selfi yako wacha nilale
Usiku mwema mjomba...
Shangazi dah! haya sikuwa na bahati basi na selfi yako wacha nilale
Kwa sababu naipenda.Kwanini
Umeiacha
Kuna kazi inatakiwa nayo[emoji848]
Umeanza liniKwa sababu naipenda.
Inavutia tu kuiangalia.
Si unaona hata wewe ilivyo nzuri?
Naitoa kesho though,,inaniumiza wakati wa kufua .
Nimechoka kudharau wakubwaUmeanza lini
Kupenda kucha
Kwenu hakuna wakubwa
Umeshindikana[emoji848][emoji848]
Bado kidogo ufikie portion za Lizzy. Yaani nyinyi hata njaa ikija hamna wasiwasi [emoji16][emoji16]
Kaka yakoNimechoka kudharau wakubwa
Nimekata
Sasa hapo jichanganye ukanyage baibui loooh, utaomba ardhi ipasukeYaani hawa wapenda heels wa humu karibu wote ni mangongoti. Aisee mnanogaga sana mkigonga mabaibui yenu, trouser ndani na [emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
Nilifungua na uji nikapiga starter kwanza [emoji1787]Bado kidogo ufikie portion za Lizzy. Yaani nyinyi hata njaa ikija hamna wasiwasi [emoji16][emoji16]
Tukutane kaigo[emoji23]Mtembeo mning'inio
Upo vyema mno[emoji1787]
Uji mzuri unashibishaNilifungua na uji nikapiga starter kwanza [emoji1787]
Hapa najazia tu ila nishakunywa ujiView attachment 2178397
ebu tuone unavyo telezaaa 😊😊Pambana na hali yako. Hapa nateleeeza kama mlenda
Na Ni kiwanda Cha kuzalisha vijambo kwa sana.Uji mzuri unashibisha
NdiyoUji mzuri unashibisha
Hii naisikia kwakoNa Ni kiwanda Cha kuzalisha vijambo kwa sana.