Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Wewe kama mie ndugu!! high heels siwezagi kabisa!
Amependeza Sana
Ila mm siku nikijaribu icho kiatu mtanikuta MUHIMBILI kitengo Cha mifupa
Ila mnapendeza Sana mkivaa aisee



ukivaa unapendeza sana na ka mwendo kanabadilika...




