Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Boss ledi wetu mkemia mkuuSitaki tabu na raia wahuyu mama kabisa!!View attachment 2177629
Boss ledi wetu mkemia mkuuSitaki tabu na raia wahuyu mama kabisa!!View attachment 2177629
Tumekumiss jamaniNipo kipenzi![]()
Umeanza Anne! 👈 Swaumu kali najua hili please!!!!Boss ledi wetu mkemia mkuu
Kuna mwalimu msimamizi alitusimamia kwenye mtihani wa taifa, yule mama popote alipo mungu amlinde, yaani alikuwa anatupa majibu kwenye maswali magumu, nilimuelewa kwa sababu alijua yale ni maisha.Nipo jobu tumeanza pepa za midterm!
Hapa Nawapiga biti tu madogo "ukigeuza shingo nakuvunja miguuNikuone unageuka sasa !!
!!
Mh!Yani TZ 11 utaota vigimbi balaa! Labda usiwe na movement nyingi nyingi!
Sanasana primary huko wanatoa sana majibu!! Ila yale ni maisha so kumkazia sana mtoto nuksi lakini pia usiwaachie sana!Kuna mwalimu msimamizi alitusimamia kwenye mtihani wa taifa, yule mama popote alipo mungu amlinde, yaani alikuwa anatupa majibu kwenye maswali magumu, nilimuelewa kwa sababu alijua yale ni maisha.
Japo ali cheat lakini sitomsahau.
Kweli tena!
mi natafakari nyie tz11 mnazifahamia wapi, hizo ni codes zetu vijiweni, nyie kutwa mpo nyumbani, au mitandaoni?Kweli tena!
kwenye kuchakarika huko na movement za hapa na pale! maisha haya sio ya ukikaa nyumbani tu mkuu!!mi natafakari nyie tz11 mnazifahamia wapi, hizo ni codes zetu vijiweni, nyie kutwa mpo nyumbani, au mitandaoni?
Dah! Ukiwa na mke mzuri halafu mpambanaji, humo kwenye upambanaji sio poa.kwenye kuchakarika huko na movement za hapa na pale! maisha haya sio ya ukikaa nyumbani tu mkuu!!
🤣🤣🤣🤣🤣! Hapana mkuu usogope oa pisi tu inategemea na tabia na hulka ya mtu!! Na unavyomuhendo!Dah! Ukiwa na mke mzuri halafu mpambanaji, humo kwenye upambanaji sio poa.
Lazima utom*ewe tu, hilo halina ubishi, hata uwe na pesa, uwe na gari 20.
Nina mpango nioe mwanamke ana sura ya mdingi wake..
Wanawake ninyi, hata umkojoze mpaka kesho asubuhi asiamke kwenda kazini lakini kuna sehemu tu ukizubaa, utashangaa mwenyewe😕🤣🤣🤣🤣🤣! Hapana mkuu usogope oa pisi tu inategemea na tabia na hulka ya mtu!! Na unavyomuhendo!
Wanawake ninyi, hata umkojoze mpaka kesho asubuhi asiamke kwenda kazini lakini kuna sehemu tu ukizubaa, utashangaa mwenyewe😕
Naona chui chui hapo.. hatari 😀😀
Amependeza SanaNapenda mdada akivaa heels shoes..umependeza![]()

