Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Nipe location mahondawSitaki tabu na raia wahuyu mama kabisa!!View attachment 2177629
Nipe location mahondawSitaki tabu na raia wahuyu mama kabisa!!View attachment 2177629
Uzuri anatembelea mattakoKweli vinachosha, sio vya kupuyangia. Mimi navipenda ila vinanishinda navaa mara moja moja sana.!!!
Marahabaaaa!!Mwaaaa

Yani TZ 11 utaota vigimbi balaa! Labda usiwe na movement nyingi nyingi!Ndio uzuri huo ila kama uko na TZ 11 hivi viatu havifai kabisa
Kabisa yaaniYani TZ 11 utaota vigimbi balaa! Labda usiwe na movement nyingi nyingi!
Kabisa! Hakuna kumletea mtu makwazo ya mavazi walaaa!!! !! 😂Ki kwaresma kabisa![]()
!
Kabisa! Hakuna kumletea mtu makwazo ya mavazi walaaa!!! !!![]()
Kabisa,miss u dear...
Napenda mdada akivaa heels shoes..umependeza![]()
Miss you more!! Siku mbilitatu hizi kimya sana kipenzi kwema lakini!
Kwema nashukuru Mungu....majukumu dear..
Oooouuuw hongera na majukumu!!
Kweli vinachosha, sio vya kupuyangia. Mimi navipenda ila vinanishinda navaa mara moja moja sana.

Nasubiria vya lunch
Mguu wa bia , shemeji anafaidi yaliyomo
No labda hujanielewa, au umefunga?huwa kuna viatu vya lunch?
NkamuPale mpo kikaoni badala ya kuchangia mada ni kujipiga picha![]()



