Sikutegemea Mjukuu wangu utanicheka hivi, unajua kabisa mapenzi ya Babu yako kwenye hii timu kiasi kwamba tunapofungwa si chakula Cha Mchana Wala Cha Usiku kinapanda😢
Kama ilivyotokea Babu yako kushabikia timu hii Kwa shinikizo la malikia Elizabeth miaka Ile ya '58 hivyo Babu naye yuko mbioni kufanya marekebisho ya Sheria yatakayomfanya Kila Mjukuu wake kushabikia Arsenal Fc🤪🤪
CC mwanasheria wa Babu
Lenie ~harakisha Sheria hii inakamilika kabla ya Mei,2022😂😂😂