Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220404_113656.jpg
 
Gallius nakuona nakuona . please Vijana wametuaibisha Mock msaada kuwashauri wamebakiza kama mwezi mmoja tu!!

Ni somo gani wameanguka sana, jaribu kwa muda uliobaki wafanye mazoezi ya past papers mara nyingi NECTA ni wavivu wa kutunga maswali tena ukipata past papers za miaka ya 70,80 na 90 bila shaka watapata maswali baadhi humo.

Ndio mbinu ninayotumia kwa vijana wa sayansi.
 
Yani tabu tupu hawa watoto!! Mbayaaaaaa zaidi unawauliza mmeelewa ndiiiiiooooo areas that you more clarification noooooo!!!
kwenye mitihani sasa ngachoka!!
Vijana wasumbufu sana niko nasahihisha madaftari hapa, yaani watoto ukiwadundisha darasani wanaonekana wameelewa ukiwaletea test unashangaa majibu yao.

Leo kila ambaye anachezea below ya 50 ni viboko kuwakumbusha majukumu yao
 
Ni somo gani wameanguka sana, jaribu kwa muda uliobaki wafanye mazoezi ya past papers mara nyingi NECTA ni wavivu wa kutunga maswali tena ukipata past papers za miaka ya 70,80 na 90 bila shaka watapata maswali baadhi humo.

Ndio mbinu ninayotumia kwa vijana wa sayansi.
Yani sayansi advance haitaki mbwembwe kabisa wakileta ujinga watatoka na zero!!!!!!
 
Back
Top Bottom