Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,461 Heaven Sent said: Kumbe kitambo eeh Click to expand... Zamani gani Huko
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 3, 2022 #174,462 Simara said: Nkamu usiwe hivyo hapa nasikia hadi mapigo ya moyo yanaenda kasi Click to expand... Ana wivu wake huyo.
Simara said: Nkamu usiwe hivyo hapa nasikia hadi mapigo ya moyo yanaenda kasi Click to expand... Ana wivu wake huyo.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,463 Wigelekelo said: Sema Unapikiwa Hivi nyie wa kishua Mnaingia jikoni kweli Click to expand... Sina house girl mie.. sina ukishua wowote ule Napenda kupika mno .
Wigelekelo said: Sema Unapikiwa Hivi nyie wa kishua Mnaingia jikoni kweli Click to expand... Sina house girl mie.. sina ukishua wowote ule Napenda kupika mno .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,464 KENZY said: Sikuachi hivihivi lazima nikuseme! Kwanza acha kula sembe pili kata kucha unatutisha..😎 Click to expand... Mwaka huu ntawatisha zaidi ya shumileta na Saradini alivyowatisha🤣
KENZY said: Sikuachi hivihivi lazima nikuseme! Kwanza acha kula sembe pili kata kucha unatutisha..😎 Click to expand... Mwaka huu ntawatisha zaidi ya shumileta na Saradini alivyowatisha🤣
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,465 Tinsley said: Blender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea . Nikatwanga tu kwenye kinu Click to expand... uliweka na maji au? jaribu kuweka kidogo kidogo. ikishindikana basi hapo kutwanga lazima
Tinsley said: Blender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea . Nikatwanga tu kwenye kinu Click to expand... uliweka na maji au? jaribu kuweka kidogo kidogo. ikishindikana basi hapo kutwanga lazima
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,466 Tinsley said: Delicious Cha nazi hichi ? Click to expand... Karanga dear Mimi napenda zaidi kutumia karanga
Tinsley said: Delicious Cha nazi hichi ? Click to expand... Karanga dear Mimi napenda zaidi kutumia karanga
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,794 Reaction score 86,552 Apr 3, 2022 #174,467 Saint Anne said: Mwaka huu ntawatisha zaidi ya shumileta na Saradini alivyowatisha🤣 Click to expand... Ndo tukuite jini nani Sasa..?
Saint Anne said: Mwaka huu ntawatisha zaidi ya shumileta na Saradini alivyowatisha🤣 Click to expand... Ndo tukuite jini nani Sasa..?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,648 Reaction score 49,071 Apr 3, 2022 #174,468 Saint Anne said: Hebu tupia picha ukiwa na zile sare zetu za mbogamboga mkuu tulinde legase Click to expand... Legacy hailindwi kwa kuvaa sare.
Saint Anne said: Hebu tupia picha ukiwa na zile sare zetu za mbogamboga mkuu tulinde legase Click to expand... Legacy hailindwi kwa kuvaa sare.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,469 Simara said: kagoma kujibu Click to expand... Nimebet ujue Usinichanie mkeka
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,470 KENZY said: Ndo tukuite jini nani Sasa..? Click to expand... Jini wine
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,648 Reaction score 49,071 Apr 3, 2022 #174,471 Wigelekelo said: Click to expand... Hapo anafuaje ama ana washing mashine??
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,472 Grahams said: Bora nichelewe kupata wajukuu lakini hao vijana wanaokimbia majukumu siwataki nyumbani, ombi langu la kumiliki mguu wa Kuku limefika kamati ya usalama ya Wilaya, wape habari zao Click to expand... Roho mbaya Itakufikisha wapi Wewe mzee
Grahams said: Bora nichelewe kupata wajukuu lakini hao vijana wanaokimbia majukumu siwataki nyumbani, ombi langu la kumiliki mguu wa Kuku limefika kamati ya usalama ya Wilaya, wape habari zao Click to expand... Roho mbaya Itakufikisha wapi Wewe mzee
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,473 Stroke said: Legacy hailindwi kwa kuvaa sare. Click to expand... Iwe na nembo ya shujaa wetu. Selfika kidogo mkuu wangu katika kulinda legase ya shujaa😍
Stroke said: Legacy hailindwi kwa kuvaa sare. Click to expand... Iwe na nembo ya shujaa wetu. Selfika kidogo mkuu wangu katika kulinda legase ya shujaa😍
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,794 Reaction score 86,552 Apr 3, 2022 #174,474 Saint Anne said: Jini wine Click to expand... Nikajua jini mahaba Anne..🤣
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,475 Wigelekelo said: Nimebet ujue Usinichanie mkeka Click to expand...
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,476 ERoni said: Mpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!! Click to expand... @GENTAMYCINE
ERoni said: Mpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!! Click to expand... @GENTAMYCINE
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,648 Reaction score 49,071 Apr 3, 2022 #174,477 Saint Anne said: Iwe na nembo ya shujaa wetu. Selfika kidogo mkuu wangu katika kulinda legase ya shujaa😍 Click to expand... Nitatupia ila usiache kukata kucha. Utapata minyoo ujue.
Saint Anne said: Iwe na nembo ya shujaa wetu. Selfika kidogo mkuu wangu katika kulinda legase ya shujaa😍 Click to expand... Nitatupia ila usiache kukata kucha. Utapata minyoo ujue.
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,478 Kashaija72 said: Ana wivu wake huyo. Click to expand... kabisaa na hivi wao wa mchangani
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,479 Saint Anne said: Cha mpira? Ndio kipi? Click to expand... @Kasie
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,480 Simara said: uliweka na maji au? jaribu kuweka kidogo kidogo. ikishindikana basi hapo kutwanga lazima Click to expand... Kisamvu sijawahi kujaribu kuweka kwa blender Ah ninayeishi nae mtata hawezi kukubali kuweka kisamvu kwa blender ..huwa ananisaidia kutwanga . Mlonge nilisaga kwenye mashine ndogo ile Blender za Kenwood ni nzuri , multipurpose haswa .
Simara said: uliweka na maji au? jaribu kuweka kidogo kidogo. ikishindikana basi hapo kutwanga lazima Click to expand... Kisamvu sijawahi kujaribu kuweka kwa blender Ah ninayeishi nae mtata hawezi kukubali kuweka kisamvu kwa blender ..huwa ananisaidia kutwanga . Mlonge nilisaga kwenye mashine ndogo ile Blender za Kenwood ni nzuri , multipurpose haswa .