Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,843
Aiitupia basi binti 😎😎
Aiitupia basi binti 😎😎
tokaa zako hapa.. kama hutaki 😎😎
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!!usikonde tutatafuta mkalimani Mimi pia maamuma kama weweUsijali, nikwama Lugha wewe ndiyo utakuwa unanisaidia.
Mihanyenye .....[emoji2957]
Wazee wa Rika langu hatuna shida, huwa tunafanya kilichotuleta, kama ni kula then hao tunajirudia makwetu 🤪🤪👷♂️👷♂️👷♂️ huyo mzee Grahams hapana aishie huko huko hana lolote ana jambo lingine.. nime msoma.. tokea mwanzo alipo taka uanze mtunzia pesa yake wakati ana wajukuu wa kumtunzia.. hii🏹🏹🏹 itamuhusu nikimuona
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]au siyooo!!!mwala kesha mwendaaWazee wa Rika langu hatuna shida, huwa tunafanya kilichotuleta, kama ni kula then hao tunajirudia makwetu [emoji2957][emoji2957]
kula kwako tu mkuu.. hapa tuna mambo yetu ya ujana na Nuzulati wanguu.Wazee wa Rika langu hatuna shida, huwa tunafanya kilichotuleta, kama ni kula then hao tunajirudia makwetu 🤪🤪
😀😀😀😀😀[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]au siyooo!!!mwala kesha mwendaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sio babu, alikumiss huyu kijana 9.8ms squaredNani kanimiss?
Babu yangu au
😂😂
Shida sio uchoyo jioni hii we mzee mbona king'ang'azi.. tuna mambo yetu yatakupa shidaa.. bureee upate mfadhaiko 😎😎😎Usimfundishe uchoyo Mjukuu wangu Nuzulati . Huku Kijijini hatukumlea hivyo 🤪🤪🏃🏃🏃
9.8ms squared vipi unataka kumposa Mjukuu wangu Depal ? Vipi Bi Mkubwa Nuzulati amekubaliSio babu, alikumiss huyu kijana 9.8ms squared
Jitahidini, mnajua Serikali imejenga madarasa mengi hayana Wanafunzi 🤪🤪🤪Shida sio uchoyo jioni hii we mzee mbona king'ang'azi.. tuna mambo yetu yatakupa shidaa.. bureee upate mfadhaiko 😎😎😎
Labda atakua bi mdogo😂 ila wacha aje ajibu mwenyew
Hebu nieleze vizuri etiiiii🤔
roho yangu, umeona sasa mambo aya huyo mzee.. 🙄🙄🙄 asikanyage hata nyumbani.. ataka kutugombanisha mama yangu kipenzi ❤️❤️Hebu nieleze vizuri etiiiii🤔
😁😁😁😁.. Uzualishaji muhimuu.. kazi kazi.. tu hapa..Jitahidini, mnajua Serikali imejenga madarasa mengi hayana Wanafunzi 🤪🤪🤪