Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,484
Niombe radhi Mjukuu, hadi vita ya Uganda Ile 78-79 nilishiriki ujue🤪🤪Siamini kama hata miaka 25 umefikisha😬
Niombe radhi Mjukuu, hadi vita ya Uganda Ile 78-79 nilishiriki ujue🤪🤪Siamini kama hata miaka 25 umefikisha😬
Nakutakia mfungo mwema wa Ramadhani mpendwaJina langu Ramadhani
Jina la nyingi Neema
Waislam fungeni mpate afya njema![]()



Huyu dogo sijui nani kamficha

Aaa wapi!Niombe radhi Mjukuu, hadi vita ya Uganda Ile 78-79 nilishiriki ujue![]()



Mabaharia labdaHuyu dogo sijui nani kamficha![]()



@cocastic yupo,hakataki tu kupita huku
Mama JNani kanimiss?
Babu yangu au
![]()
Naamini leo itakuwa imepulizwa Sana Tu vumbi vumbi na tumguso guso kama inapata Moto 😂😂😂
Ushaona ya Nuz wewe 😄😄hamna kitu hapo.. humu mwenye macho makali ni Strawbella na Lizzy wengine tupa kule 😎😎
Asante unaweza pia nisaidia kwa niaba yangu 🙏🏽Nakutakia mfungo mwema wa Ramadhani mpendwa![]()
ananitazama kwa macho legevuu... hapa 😎😎😎Ushaona ya Nuz wewe 😄😄
Nakuona kwa mbaaliiThe moment you bring the little lamp into it, the brightest pictures shine on your white wall!


I couldn't agree with you more.
Habari ya weekend rafiki ?

Wapi kipenzi😍Umeonekana 😍😍
Tulio pigana vita hiyo tunakushanga aisee😬Niombe radhi Mjukuu, hadi vita ya Uganda Ile 78-79 nilishiriki ujue🤪🤪
Mtoto wa sita hii kamba to much mpendwa😬Aaa wapi!
Kwa kusoma tu maandishi yako we bado under 40...Likely 34-38. Unaweza kuwa hata mtoto wangu wa sita huko![]()
Mabaharia labda
(Akirudi atapitia comment moja baada ya nyingine na majibu yake yatategemea siku hiyo kaamkaje. cocastic nakutania tu mdogo wangu)


Koh Koh Koh.......🥱Tulio pigana vita hiyo tunakushanga aisee😬