Katriel
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 272
- 933
Bossledi 🥰🥰🥰😋My day ended well friends!View attachment 2169632
Bossledi 🥰🥰🥰😋My day ended well friends!View attachment 2169632
Yummy😍😍😋
😘😘😘Siamini Anne ameshakuambukiza ketty!!Bossledi 🥰🥰🥰😋
Nilishajifunza, kuwa mkarimu na mcheshi kwa mtu hupungukiwi jambo.. kuliko kuwa mwenye mitazamo kujiona au kujisikia.. dunia ni duara na hatujui kesho yetu.. nacheka na kila mtu.. watu huwa nawaambia ukikuta mtu ana ugomvi na mie ujue huyo ana elements za kichawi laizma anichukie.. maana mchawi hanaga jema anapokutana na roho nyeupe.. jiandaeee tukawinde jiandae na road trip matataa sanaaaa 😊😊Kweli umeongea kitu kikubwa na cha msingi sana, wema hua siku zote hauozi ukigundua hilo basi utaishi vizuri na watu.
Dharau, majivuno sio kabisa kwenye haya maisha ambayo hatujui kesho yetu itakuaje.
Wewe utakua uko charming ndio maana umeweza kufanya yote hayo, na ukimtendea mtu mema lazima tu utabarikiwa na namna yako.
🤣🤣🤣 najiona kabisa nikielekea kuwa chawa mtiifu kwa bosledi...😘😘😘Siamini Anne ameshakuambukiza ketty!!
Nipo Bosi Ledi. Siku yako imekwendaje?Nipo msukuma..... asante nawe tulikumis sana rafiki....
Bado Upo au ushatoka online??
✌️✌️🥰🥰🥰🥰🥰🥰Leo nimekubahatisha Boss Lady. Gojazi ezi yujo![]()
Mungu ni mwema rafiki all is well!!Nipo Bosi Ledi. Siku yako imekwendaje?
😍😍😍 si unajuwa we ndio furaha yangu na uhai wangu..❤️Nimefika kipenzi
Sikumbuki kama ulishawahi kuselfika hapa. Unaonaje ukiweka kakitu hata kama ni kisigino babu yako nifurahi?najiona kabisa nikielekea kuwa chawa mtiifu kwa bosledi...
😂😂😂 mchawi mtu mbaya sana, asikuone unafurahi basi ye ananuna inamuuma.Nilishajifunza, kuwa mkarimu na mcheshi kwa mtu hupungukiwi jambo.. kuliko kuwa mwenye mitazamo kujiona au kujisikia.. dunia ni duara na hatujui kesho yetu.. nacheka na kila mtu.. watu huwa nawaambia ukikuta mtu ana ugomvi na mie ujue huyo ana elements za kichawi laizma anichukie.. maana mchawi hanaga jema anapokutana na roho nyeupe.. jiandaeee tukawinde jiandae na road trip matataa sanaaaa 😊😊
Amen. Leo na kesho na hata milele...Binti mpole usiye na shida na mtu...Mungu ni mwema rafiki all is well!!




Tutachemsha mihogo tunywee chai hadi tukitoka jasho linukie mihogo na viaziWapendwa tupate Tangazo kutoka kwa wadhamini wetu😃😃😃View attachment 2169655
😇😇😇😇.. we only live once😂😂😂 mchawi mtu mbaya sana, asikuone unafurahi basi ye ananuna inamuuma.
Tutende yaliyo mema kwa majirani zetu bila kungoja shukrani.
Hapo tutamatch vzuri sana, me napenda sana +ve vibes maana we only live once
Me niko redeeeee🤸🏾♀️🤸🏾♀️ nasubiri tu siku ifike
Wadhamini wameeleweka. Lawama zote abebeshwe boya Putin

Hahaah sawa babu, kesho nitaweka ngoja nijikoki,,,Sikumbuki kama ulishawahi kuselfika hapa. Unaonaje ukiweka kakitu hata kama ni kisigino babu yako nifurahi?
#OmbilaBabu
#WazeeniHadhina