Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndugu zangu wale nawajua, no wonder hua wanakimbiliwa sana na wadada[emoji23][emoji23]
Hao na wamasai alooo naskia nao ni hatari[emoji23]
Kumbe hiyo ndio siri ya mambo yote

Hapo kwenye sensa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ishafeli.
Mbali na samli kuna siri nyingine tena. Ukikua na kuwa na mtoto wa kiume kama unataka awe na mzigo wa hatari nitafute bageshi nikuelekeze...100% proved to work [emoji818][emoji818][emoji818][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Bageshi nitakutafuta, wacha nikue kue kidogo, nikipata tu babyboy nakuja unipe maujuzi
 
unene hauna dili msukuma nivile wewe wapenda yutongs!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]
Wewe siyo mnene. Wewe ndiyo hasa mwanamke halisi wa Kiafrika anavyopaswa kuwa. Mwili wa wastani, umbo mkatiko, mtako wa uhakika....kila kitu kiko mahali pake yaani. You are perfect Boss Lady na usiruhusu vimbaumbau hivi vikuvuruge na kukuharibia konfidensi yako eti ili uwe mrembo inabidi uwe umekondeana. Siyo kweli hasa kwa wanaume wanaojua hasa mwanamke halisi anapaswa aweje...

Boss Lady forevaaaa [emoji122][emoji122][emoji91]
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Murembo[emoji3059],hamna wembamba hapo mzigo kama wote,jamani mchangieni shangazi akafanye surgery[emoji2][emoji2][emoji2]
🤣 eti shangazi 😂😂😂😜! shangazi ebu kwanza tupia hio body tuone kwanza kama kuna ulazima wa hio contribution au fix tu tupia kwanza shangazi!
 
Bageshi nitakutafuta, wacha nikue kue kidogo, nikipata tu babyboy nakuja unipe maujuzi
Tuombe uzima bageshi. Niliona watoto wa dada wakifanyiwa hiyo procedure (ni ya kukanda tu na mikono)...Madogo wako vizuri sana mpaka leo na bahati mbaya wengine mpaka imewawia vigumu kutulia na mwanamke mmoja [emoji16]
 
Back
Top Bottom