Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwa😬
Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana.

Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua
 
Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana.

Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua
Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa 🙂🙂..
 
Back
Top Bottom