Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Nenepa tu mkuu.. nyama nyama muhimu.. 😀😀😀..Nkamu ningekua na hela ningeenda kukata utumbo yaani diet ni mateso acha tu ninenepe![]()
Nenepa tu mkuu.. nyama nyama muhimu.. 😀😀😀..Nkamu ningekua na hela ningeenda kukata utumbo yaani diet ni mateso acha tu ninenepe![]()
Naomba hii picha bila huo mdude 🥰
Hivi unajua nacheka?! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msabato wapi, nilichange hair style kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.
Rangi ya akili ndio ikoje hiyo
Hahahaaa sawama legend ndio wanaelewa.. vitu flani hapo vipo vya hatari sana.. acha wafaidi 👷♂️👷♂️
au nasema uongooo Lenie .. madini joto yapo ya kutosha hapo 😊😊😊Hahahaaa sawa
Tuma vocha ya kutumia hyo picha.Naomba hii picha bila huo mdude 🥰
Mtoto nachuro, hata rangi hupaki 🤣
Tupia basi na wewe.. mbona unakuwa selfish sanaaa 👷♂️👷♂️Hivi unajua nacheka?! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sogea road nikuwashie hot spot dada 😄Tuma vocha ya kutumia hyo picha.
Nachuro ndio mpango mzima😂😂
Af jana ukapost picha, badae nakuta ushafuta hata sijaionaHivi unajua nacheka?! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joto linapeleka unato.. pls nisieleweke vibayaa.. maana mawazo ya watuu 👷♂️👷♂️Aki umeniacha njiapanda, ila wacha nifanye nimeelewa 😅😅
Nitaenda google
achana na sura bwana hata sungura anayo.. 👷♂️👷♂️
Ilikuwa ni picha ya kiatu kilichovuliwaAf jana ukapost picha, badae nakuta ushafuta hata sijaiona
Taqo hata tembo analoachana na sura bwana hata sungura anayo.. 👷♂️👷♂️
Japo umeficha kadimpo umetubania but still looking biurifoo as usual😘
Aah sawaIlikuwa ni picha ya kiatu kilichovuliwa
na ndio nataka liona 😀😀 sura ya kazi. ganiTaqo hata tembo analo
Kumbeee na huku hua kuna joto balaa itakua mwili umeadapt😅Joto linapeleka unato.. pls nisieleweke vibayaa.. maana mawazo ya watuu 👷♂️👷♂️
Nimeandika nikafuta..na ndio nataka liona 😀😀 sura ya kazi. gani