Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,865
Emu nisomee ulichoandika 🤣🤣🤣Me nataka nikuone uzini bana shoo😂
Nimekumiss eti
Emu nisomee ulichoandika 🤣🤣🤣Me nataka nikuone uzini bana shoo😂
Nimekumiss eti
Uwiiiii aki hata sikuona🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Emu nisomee ulichoandika 🤣🤣🤣
Shangazi acha bwanaa.. usinihujumu uncle wako.. fanya maarifa shangazi 😎😎Muda wa break kwenye lindo na shangazi atupia kitu[emoji2][emoji2]
tupia basi tuone mavitu 👷♂️👷♂️Emu nisomee ulichoandika 🤣🤣🤣
alafu mkuu sijawai ona kapicha kako mzee 👷♂️👷♂️Uwiiiii aki hata sikuona🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Natengua kauli🤣🤣🤣🤣
Sema kwelialafu mkuu sijawai ona kapicha kako mzee 👷♂️👷♂️
Ah wapi nimesema😁Weeee nivile tu napiga engo fulani!! ila kitambi ninacho kama chote
kweli ebu tenda muujiza basi 😎😎Sema kweli
Dah huyu mideko😂😂😂🙌
Shangazi acha bwanaa.. usinihujumu uncle wako.. fanya maarifa shangazi [emoji41][emoji41]
dah! uncle.. okoa okoa uncle watoto wa siku hizi sio watazuga kulala kumbe vinachungulia ☺️☺️Mjomba subiri watoto walale kwanza [emoji2][emoji2]
😀😀😀Uwiiiii aki hata sikuona🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Natengua kauli🤣🤣🤣🤣
dah! uncle.. okoa okoa uncle watoto wa siku hizi sio watazuga kulala kumbe vinachungulia [emoji3526][emoji3526]
hizo hizo shangazi zatosha.. chini huko hatuna haja napo hatumi nguo hapa 😀😀Tatizo shangazi ana passport size tu[emoji2][emoji2]
Msabato eeh 😋😋 rangi ya akili
Kweli nkamu punguzo la kilo utalisikia kwa jirani[emoji2296]
[emoji3526][emoji3526][emoji3526] kidogo sana hakitoshi kama mpo watatu
Msabato wapi, nilichange hair style kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.Msabato eeh 😋😋 rangi ya akili
😀😀😀😀.. mmh! hapo mnashibaje asaweeeee kimetosha sana[emoji3]
ma legend ndio wanaelewa.. vitu flani hapo vipo vya hatari sana.. acha wafaidi 👷♂️👷♂️Msabato wapi, nilichange hair style kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.
Rangi ya akili ndio ikoje hiyo