Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weee ni huyo tu na mnyaki feki mwenzie Aristotee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zinawaingiza watu kwenye maombiNdio zenyewe hizo,zina upako wa kutosha..
Ila chawa tupoJamani jamani...
Isije kuwa kale ka komenti kangu tu le madame! Huwa nina mautani mengi tu mama!
Yaani leo nimeamkia kushotoWewe na mpambe wako, mkipaka rangi mnatunyasanyasa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina mkosi leo napitwa na ndege airport[emoji16]Anne boss kaweka mkono[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Basi tuilaumu shepu ya boss ledi maana inatikisa mataifa yote ulimwenguni[emoji16]Usitufanyie hivyo bwana,huyu ni [mention]Saint Anne [/mention] kasababisha[emoji2][emoji2]
Kamba umeanza lini?[emoji23]Na Mimi pia. Unalijua tege langu?
Kabisa yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila la kheri sie ukituma tunakusifia tu as usual selfika hatunaga makuu mbona!
Nilisema mimi wewe uzungu upo rohoni.Mimi napenda sana kusoma vitabu hata page 500 nasoma ni ka book worm fulani hivi[emoji2][emoji2]
Halimzidi boss wetu wa kimataifaNgoja Anne aje aseme [emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwa zile pamba zake kali yuko busy anachakata mikopo yetu pale World benkiJamani jamani...
Isije kuwa kale ka komenti kangu tu le madame! Huwa nina mautani mengi tu mama!
Wanyaki ni watu na nusu. Kwenye Sherehe watalia kweli, kwenye shughuli watashughulika haswaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna clip nimeona mtu anasema sasa wewe huna rafiki mnyaki unategemea nini?
Ukipata sherehe au msiba nani atakusaidia??
Eti zamani walisemaga sherehe ni watu
Waliogopa tu kueneza ukabila tu kwa sababu watu wanaosemwa hapo ni wanyakyusa[emoji23][emoji119]
Huku
[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]chawa km chawaa!!!sikuwezi Mimi!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na siachi Bina
Siyo kwa ile Algebra umeshusha aseee
Jinsi unavyopendeza wewe ukinipigisha zile calculus chap kwa haraka nadaka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeeeYaani leo nimeamkia kushoto
Hakuna picha niliyoibahatisha
Ebu kwendaa[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]Kwa zile pamba zake kali yuko busy anachakata mikopo yetu pale World benki
Ukiwa na stress kama huna rafiki wa Kinyalo utapta depression aseehh!!hawa watu mabingwa wa ushauri!!Wanyaki ni watu na nusu. Kwenye Sherehe watalia kweli, kwenye shughuli watashughulika haswaa
Leo humu kimya sana why[emoji848]
Salama kipenzi nipo weka moja nisuuze machoWewe ndio umekua kimya leo,salama dear?