Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Hivi kumbe ni kawaida kwa sisi wanawake kusifiana hivi eh? Sasa mbona wengine tukifanya hivi tunachukuliwa tofauti eti au ndiyo kwa vileee......?


Kuna wale
Watangazaji wa TBC
Yule wa michezo
Kumsifia yule wa taarifa ya habari
Wananifurahisha sana



