Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG20260822153954.jpg
 
Nilikaa sehemu nikakumbuka humu Jf miaka ya nyuma kuna mdada alikuwa anajiita Zoe baadae akajiita Karma, nikasema mbona siku hizi simuoni mara kwa mara,
in fact nilikuwa namfananisha na ShesRise_1 and sometimes namfananisha na Seran
kumbe master kwa sasa unajiita Jadda.
Unatufananisha kwa misingi gani?
 
Nilikaa sehemu nikakumbuka humu Jf miaka ya nyuma kuna mdada alikuwa anajiita Zoe baadae akajiita Karma, nikasema mbona siku hizi simuoni mara kwa mara,
in fact nilikuwa namfananisha na ShesRise_1 and sometimes namfananisha na Seran
kumbe master kwa sasa unajiita Jadda.
Kufananisha kua inatokea sana
Lakini vile ushatambua sio kweli basi hakuna tabu
Karibu kijana 😊
 
Back
Top Bottom