Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,245
Mia Moja ni matatizo[emoji23][emoji23][emoji23]Bi mkubwa huwa anamuambia asipopungua asiende kabisa kwake kumsalimia [emoji23][emoji23]
Dada yangu mmoja alifika 95 baada ya kujifungua mtoto wa 3
Akaanza kuugua presha
Hosp wakamwambia uzito umezidi
Alipambana