Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Jamanii kwani hawezi kuwa yeye na anatumia JF😬Ulijua ni kamba na bado ukaiwashia 🔥 wa sifa 🤣🤣🤣🤣
Ila wewe
Jamanii kwani hawezi kuwa yeye na anatumia JF😬Ulijua ni kamba na bado ukaiwashia 🔥 wa sifa 🤣🤣🤣🤣
Ila wewe
Oh Asante nitatafuta.Losheni zinazokufaa wewe ni zalemon na usiku usilale hakikisha una nawa uso wako kwa sabuni

Uzito mwingi sio ishu...huyu wangu ni mkubwa kabisa kuna dada wa pili yeye ana kilo zaidi ya 100 yaan ni mkubwaaa na hafanyi mazoez wala nini anasema karidhika na mwili wake. Wakikaa na mimi wananipoteza sionekaniMimi dada yangu ana 75 ila namuona mmama..angalau ameanza mazoezi
Unazikumbuka enzi za Msubhate?? 🤣🤣Jamanii kwani hawezi kuwa yeye na anatumia JF😬
Akajipange upya aise! 😄Watu wameharibu kila kitu![]()
Emu tukuoneUzito mwingi sio ishu...huyu wangu ni mkubwa kabisa kuna dada wa pili yeye ana kilo zaidi ya 100 yaan ni mkubwaaa na hafanyi mazoez wala nini anasema karidhika na mwili wake. Wakikaa na mimi wananipoteza sionekani
Inakuwa jipu kabisa wanaita jipu uchungu.Hivyo vitakuwa vikubwa aisee pole
Nikahisi tudogo hivi tulivyovizoea .
nimezoea usoni sipaki kitu toka nipo class six nikidai mafuta yanaleta chunusi .
Ngoja waje wengine wakushauri .
100Uzito mwingi sio ishu...huyu wangu ni mkubwa kabisa kuna dada wa pili yeye ana kilo zaidi ya 100 yaan ni mkubwaaa na hafanyi mazoez wala nini anasema karidhika na mwili wake. Wakikaa na mimi wananipoteza sionekani

Teh kuna aunt yangu mmoja kuna siku mtu alikuja nyumbani kwake; hakumkuta aunt. Wakati mgeni anaondoka; akakutana na aunt njiani ndiyo kumwambia kuwa ametoka nyumbani kwake ila amemkuta mtoto wa aunt wa kiume (mjomba). Aunt alikuja kunisimulia hadi anatamani kulia " Mimi naweza kuzaa Mzee kama yule"? Mumewe ni mbegu fupi ya kibena. Nilicheka sana aisee, bado msongamano wa Shikamoo.

nmecheka, diet muhimuHakuna weeJamanii kwani hawezi kuwa yeye na anatumia JF![]()

Pakaa mafuta ya taa 🤣🤣Oh Asante nitatafuta.
Nilikomaa na Vaseline yangu hadi akili ikanikaa sawa..jipu zinauma aisee
Baadaye nikatafuta haya hapa.View attachment 2167391View attachment 2167392
Tufanyeje sasa?Ulijua ni kamba na bado ukaiwashiawa sifa
![]()
Ila wewe

Ah wapiMmh hapa kila siku naambiwa niongezeke kidogo
Id ya mchongo 🤣🤣Hakuna wee
Huyu Msubhate
Shida siyo kuwa yeye,,anaweza kuwa yeye
Ila shida I'd imekuja kimtego.
Teh kuna aunt yangu mmoja kuna siku mtu alikuja nyumbani kwake; hakumkuta aunt. Wakati mgeni anaondoka; akakutana na aunt njiani ndiyo kumwambia kuwa ametoka nyumbani kwake ila amemkuta mtoto wa aunt wa kiume (mjomba). Aunt alikuja kunisimulia hadi anatamani kulia " Mimi naweza kuzaa Mzee kama yule"? Mumewe ni mbegu fupi ya kibena. Nilicheka sana aisee, bado msongamano wa Shikamoo.

Kumbe!Vijipu nijuavyo ni mchafuko wa damu

Bi mkubwa huwa anamuambia asipopungua asiende kabisa kwake kumsalimia

Inakuwa jipu kabisa wanaita jipu uchungu.
Kikiota basi unakuta huo upande wote unauma.
Mimi mwenyewe nilikuwaga napaka mafuta ya mgando tu..sometimes sipaki chochote na nilikuwa fresh sana ila baada ya kubadili mazingira ndo kasheshe ilipoanzia.
.