Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,304
haha mie nimejitahidi sana kukomesha kula kula saivi zimeshazoeaumefanya kwa muda gani?
Hivi huwa hakuna dawa za kukata apetite? mimi kula napenda![]()
Nadhani zipo!!
haha mie nimejitahidi sana kukomesha kula kula saivi zimeshazoeaumefanya kwa muda gani?
Hivi huwa hakuna dawa za kukata apetite? mimi kula napenda![]()
Msubhate hili lilinipita😬Unazikumbuka enzi za Msubhate?? 🤣🤣
Anaweza kuwa kabisa, ila sisi binadamu wabaya tu
Nilikuwa napaka kote Vaseline yanguKama vaseline unapaka usoni na uso wako ni wa mafuta basi chunusi hazitaisha...
.
wanaotaka kumaintain hali za shepu za mtindi
..then Vaseline is the best.Haha.....chawaaaaaa😘😘😘😘😘😜😜
Angalia tu tusije kumwita mtoto wakoNa nikinenepa mambo yananinyookea na Baba Mchungaji, roho yake kwatuuuu![]()

Mwaya 😄 tunalo basi?tatizo nn kwani,, nyieeee
Nimeona Uzi umeanza kutetemaHaha.....chawaaaaaa![]()

Hapana sikujazi
Hakuna mburushi humu aisee..wote ni wamakonde
Tusafishiepo nyota Uzi na picha kali za kishombeshombe![]()
Wachagga mlitoka EthiopiaMimi mwenyewe mmatumbi so tuko sawa tu..

Ha ha haNilikuwa napaka kote Vaseline yangu
Nikinunuaga kopo kubwa basi Mungu anipe nini tena.
Miaka yote nikikuwa napaka hayohayo ..
Duh,nilivyokuja sehemu ya joto ndo mshike mshike huu ukaanza.
Itabidi niachane sasa na Vaseline yangu.
Ushauri Kwa wanawake;
Kwa wadada ,wamama,Mabintiwanaotaka kumaintain hali za shepu za mtindi
..then Vaseline is the best.
Hapana. Ana mwili wa kutoshaAngalia tu tusije kumwita mtoto wako![]()
Aisee
Watu ni noma sana mdogo wangu.
Wanaume watafika Mbinguni Kwa kuchechemea
Imagine anataka kweli tucompete na hizi kilo 50anatutakia Nini huyu??

Mimi napenda kuendelea kubaki katoto aiseeHapana. Ana mwili wa kutosha

Tuma full halafu izibe usoni na emoj dear..Naogopa kutuma full maana mi mgen kufuta sijui,Mr akiona patawaka

🤣🤣🤣Naogopa kutuma full maana mi mgen kufuta sijui,Mr akiona patawaka
Nilikuwa napaka kote Vaseline yangu
Nikinunuaga kopo kubwa basi Mungu anipe nini tena.
Miaka yote nikikuwa napaka hayohayo ..
Duh,nilivyokuja sehemu ya joto ndo mshike mshike huu ukaanza.
Itabidi niachane sasa na Vaseline yangu.
Ushauri Kwa wanawake;
Kwa wadada ,wamama,Mabintiwanaotaka kumaintain hali za shepu za mtindi
..then Vaseline is the best.
Na atafika usiku wa manane🤣🤣🤣🤣 Wigelekelo atafika anatambaa kwa mchoko.