mie sanasana ni mazoezi na diet pia kuna dawa ya masai nilipewa.... nilipunguza sana kula vyakula vya wanga kwa wingi pia Usiku siku nyingine Nilikua nalalia ndizi mbivu tu zinakata sana mafuta siku nyingine mboga za majani sana na Siku nyingine mlo nakula matunda matunda tu matunda mix...Share tips plz umefanyeje, mimi nakaribia 100[emoji28][emoji28][emoji28]
Badilika 🤣Mweeh tupo wengi
Labla kwa wengine ila kwangu ni mchoyo hata hivyo hainikatishi tamaa ya kumuombeaKabisa na hivi hili lijamaa 9.8ms squared Sio lichoyo utaenjoy Sana
Kwa kweli yaan wee acha tyuuh.sana, uwe una muda na kuupenda[emoji23][emoji23][emoji23]
yani nilikua maogopesha tumbo kuleee trako kuleee uwiii!!Weeeh!!hongera sana shepu sasa itakua fireeee
Nyie wa kaskazini mna undugu na mashombe.
Mna asili ya nywele.
Hebu tupia ingine tuone
@9.8ms squared Kaka shida nini tena mtoto mzuri anahitaji matunzo bwana au bado unamfanyia vetting Mimi najua uwezo huo upo 9.8ms squaredLabla kwa wengine ila kwangu ni mchoyo hata hivyo hainikatishi tamaa ya kumuombea
Wee!kweli?[emoji7]Tena hapo zimekatika sana...
Bora shem umeongea labla atakuelewa@9.8ms squared Kaka shida nini tena mtoto mzuri anahitaji matunzo bwana au bado unamfanyia vetting Mimi najua uwezo huo upo 9.8ms squared
Jf ina vyuma[emoji7][emoji85][emoji85]View attachment 2167035
😍😍😍[emoji85][emoji85]View attachment 2167035
Wige yuko wapi Jamani[emoji85][emoji85]View attachment 2167035
Usiwe na shaka limeisha Hilo subiri nitulie nimvutie wayaBora shem umeongea labla atakuelewa
Nataka nione sasa lile kopo la hiyo scrub.
Najitahidi sana kusugua kama ulivyosema japo bado sijafikia ule ulaini ninaohitaji.
Pia nilikuwa situmii scrub..natumia mafuta ya nazi tu.
Sipekui popote..kabisa.
Nina viatu vyangu navaa ndani
Ila kuvaa socks kwangu ni mtihani..siwezi kabisa.
Nitajitahidi nisishindikane katika hiliBadilika [emoji1787]
Haya sasa[emoji85][emoji85]View attachment 2167035
Ukioa na majaribu ndio yanaongezeka shetani bwana[emoji85][emoji85]View attachment 2167035
Ahsante Cha uremboView attachment 2167027
hili hapa Nkamu.
loweka miguu nkamu fanya hiyo process kwa mwezi utuletee mrejesho.
viatu ni bora zaidi kuliko socks, ila mtu akishindwa viatu avae socks kuliko kutembea peku
socks mimi huwa napenda nikipaka mafuta miguu ibaki na unyevunyevu muda mrefu so inasaidia hata kuondoa sugu za vidole ….hasa sisi wenye miguu mikubwa viatu huwa vinatutoa sugu sana.