Selfika na JF: Snap it. Show it

Nataka nione sasa lile kopo la hiyo scrub.

Najitahidi sana kusugua kama ulivyosema japo bado sijafikia ule ulaini ninaohitaji.
Pia nilikuwa situmii scrub..natumia mafuta ya nazi tu.

Sipekui popote..kabisa.
Nina viatu vyangu navaa ndani
Ila kuvaa socks kwangu ni mtihani..siwezi kabisa.
 
Tafuta Socks kama ni mpenzi wa peku.

kwanini unavua ni virefu au


Unaweza ukaona mbona ni sawa tu ila nilivyoacha kutembea peku mabadiliko ni makubwa.
Socks mpaka baridi lije ndiyo naziweza

Virefu wapi? Basi tu mazoea, mfano leo nimevaa mossimo, na hapa nimeivua…

Nina indoor slippers ila kuzivaa sasa!!

Emu nijaribu, maana mambo ya kumkwarua mtoto wa mama mkwe na miguu sio sawa 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…